BBC MITIKASI LEO 11.11.2022

  • | BBC Swahili
    1,412 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO: Tunatathmini kilichojiri ndani ya wiki moja katika Kongamano la Mazingira la COP27 lilowajumuisha viongozi mbali mbali wa dunia huko Misri. Wito wa kuimarishwa usalama kwa watoto mtandaoni, huku idadi ya watu wanaotumia intaneti ikizidi kuongezeka.