Jopokazi la kukarabati mfumo wa elimu ya CBC lakusanya maoni

  • | Citizen TV
    564 views

    Jopokazi la kupiga msasa mfumo wa elimu limekamilisha shughuli ya kukusanya maoni ya wakenya kuhusu hatua hiyo. Katika kikao cha leo jijini Nakuru, gharama ya utekelezwaji wa mfumo wa CBC pamoja na utayari wa utekelezwaji wake zilishamiri kwenye mjadala