Watu zaidi ya 5.1m wameathiriwa na baa la njaa nchini

  • | Citizen TV
    318 views

    Idadi ya watu ambao wameathirika na ukame inaongezeka kila uchao. Kulingana na mamlaka ya kitaifa ya kukabiliana na janga (ndma) kufikia sasa watu zaidi ya milioni tano wanahitaji msaada wa chakula na maji