Skip to main content
Skip to main content

KUKABILI MAKALI YA KIANGAZI

  • | KNA Video
    159 views
    Duration: 2:52
    Huku maeneo mbali mbali yakiendelea kukabiliwa na baa la njaa humu nchini kutokana na makali ya kiangazi wadau wa kilimo kaunti ya Kilifi wanawashauri wakulima kupanda mimea ambayo inakomaa kwa muda mfupi na pia inayohitaji maji kidogo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Wakiongozwa na mkurugenzi mtendaji wa shirika la Gapeka Children Hope Center Jonathan Guyo wadau hao wamesema kuwa ipo haja kwa wakulima kukumbatia mbinu za kisasa za ukulima endelevu hasa kwa wale wanaoishi karibu na maeneo loevu ikizingatiwa kuwa majira ya mvua yameathiriwa pakubwa na mabadiliko ya tabia nchi.