Rais Wiliam Ruto asema serikali itaondoa matumizi yasiyo ya dharura

  • | Citizen TV
    1,369 views

    Rais William Ruto amesisitiza kuwa ni sharti serikali iyaondoe matumizi yasiyo ya dharura au muhimu kwenye bajeti, ili kupunguza mzigo wa deni la kitaifa. Kulingana na rais, bajeti ya mwaka 2022/2023 itafanyiwa ukarabati, ili kuipunguza kwa zaidi yashilingi bilini 300. Rais alikuwa akiwahutubia wawekezaji katika hazina za malipo ya uzeeni hapa jijini Nairobi