17 Feb 2026 1:35 pm | Citizen TV 126 views Duration: 1:23 Mradi wa maji uliopaniwa kuwafaa Wakazi wa wadi za West Bukusu, Siboti na Kimaet eneobunge la Bumula katika kaunti ya Bungoma umeanzishwa tena.