Virusi vya Monkey pox ulimwenguni

  • | K24 Video
    220 views

    Virusi vya monkey pox vimeenea katika mataifa kumi na tano kote ulimwenguni, na shirika la afya ulimwenguni limewasilisha wasiwasi wake, kufuatia upatikanaji wa ugonjwa huo katika mataifa yasiyokuwa na historia ya Monkeypox.