22 Aug 2025 1:52 pm | Citizen TV 513 views Duration: 52s Kufuatia taarifa iliyoangaziwa na runinga ya citizen kuhusu kuzama wa barabara ya Marigat kuelekea Chemolingot na Loruk, mamlaka ya barabara kuu - kenha imechukua hatua na kufunga barabara hiyo.