Maambara tembezi ya sayansi
Maambara tembezi ya sayansi safari, imeazimia kuzifikia shule zaidi hasa maeneo ya vijijini ili kutoa huduma ya maabara kwa shule za serikali za msingi na sekondari
Tangu kuanzishwa kwake mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 tayari imezifikia shule zaidi ya 200 Tanzania nzima
Maabara hii inalenga kutatua changamoto iliyopo ya ukosefu wa maabara katika shule nyingi za umma hivyo wanafunzi kukosa nafasi ya kufanya mazoezi kwa vitendo na kurahisha uelewa wa mada mbalimbali ambazo tayari zimefundishwa kwa nadharia.
Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds_ ameandaa taarifa hii
#bbcswahili #tanzania #elimu
21 Aug 2025
- An advertisement went viral on Thursday claiming several high-end cars were on sale for as low as Ksh1 million.
21 Aug 2025
- The govt is seeking ways to lower cost of cars amid plans to change how customs duty on imported second-hand cars is calculated.
21 Aug 2025
- The former DP arrived at JKIA shortly before 2 pm and was met by supporters and political allies.
22 Aug 2025
- Scores were injured as former deputy president Rigathi Gachagua's supporters clashed with armed goons who attempted to disrupt the procession from JKIA.
22 Aug 2025
- The Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has called on Members of Parliament to embrace transparency in the
22 Aug 2025
- The People’s Liberation Party (PLP) leader, Martha Karua, has questioned the huge sums of money splashed in churches by
22 Aug 2025
- Safaricom unveils time-based internet bundles
22 Aug 2025
- Police exhume five bodies in Kwa Binzaro cult probe
22 Aug 2025
- Trump to reset Biden-era trade talks with Kenya
22 Aug 2025
- State pushes new SEZ reforms, China trade deal to boost exports and jobs
22 Aug 2025
- Kenya targets funds from Japan through Samurai Bond issuance
22 Aug 2025
- Mr President, without naming culprits, anti-graft talk remains hollow rhetoric
22 Aug 2025
- Kenyans can't stay calm now that Riggy G is back, yet they didn't miss him