- 7,655 viewsDuration: 3:38Viongozi wa chama cha ODM, chini ya mpango wa Linda Ground, wamewahakikishia wakazi wa Siaya kuwa watahakikisha chama hicho kimepata "power" kwa kupata nyadhifa kubwa kubwa na mbali mbali, katika mazungumzo yao na rais William Ruto, yanayolenga kuunda serikali baada ya uchaguzi wa mwaka ujao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya