- 12,911 viewsDuration: 2:37Mwanamume mmoja anauguza majeraha baada ya kuchomwa kwa maji moto na mwanamke anayesemekana kuwa mpenzi wake. Inadaiwa kuwa Steve Godia alivamiwa na mshukiwa usiku wa kuamkia tarehe 14 Februari akiwa nyumbani kwake huko Umoja 1, Nairobi.