- 17,842 viewsDuration: 41sPolisi nchini Italy walimnasa mbwa kupitia kamera za ulinzi akitupa taka kinyume cha sheria kwenye barabara ya watembea kwa miguu na wamesema mnyama huyo alikuwa amefundishwa na wamiliki wake kutupa mifuko ya taka kinyume cha sheria. #bbcswahili #italia #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw