Skip to main content
Skip to main content

Tana River: Vijana 500 wakikaribia kutimiza ndoto zao za ujasiriamali kupitia mpango wa BlueBiz

  • | NTV Video
    462 views
    Duration: 2:13
    Zaidi ya vijana 5,00 katika kaunti ya Tana River wako hatua moja karibu na kutimiza ndoto zao za ujasiriamali baada ya kushiriki zoezi la uwasilishaji wa mawazo ya biashara mbele ya wafadhili na taasisia za kifedha chini ya mpango wa biashara za uchumi bahari almaarufu BlueBiz. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya