- 897 viewsDuration: 3:03Sekta ya boda boda imeingia tena katika mjadala mkali wa usalama baada ya Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kuonya kuwa baadhi ya wahalifu wanatumia biashara hiyo kujificha na kutekeleza uhalifu mijini na hata kushiriki vurugu za kisiasa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya