Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto awashambulia viongozi wa upinzani, atetea miradi ya maendeleo Westlands

  • | Citizen TV
    10,610 views
    Duration: 3:06
    Rais William Ruto ameshtumu viongozi wa upinzani anaodai wanawapotosha wakenya kwa kueneza siasa za kumlenga na kukosa ajenda. Rais Ruto aliyezuru eneo bunge la Westlands kuzindua miradi ya maendeleo ametetea hatua iliyopigwa na uongozi wake katika maswala ya ujenzi wa nyumba, ustawishaji wa uchumi na kuwekeza katika masomo