- 9,798 viewsDuration: 2:44Shule ya wasichana ya Lwak katika eneo la rarieda kaunti ya siaya imejipata kwenye mvutano wa kidini kufuatia madai ya msichana aliyekatazwa kuvaa hijab shuleni kuambatana na dini yake ya kiisilamu. Samira ramadhan sasa akilazimika kukatiza masomo shuleni humo kufuatia kile anadai ni dhuluma kwa msimamo wake wa kuvaa hijab shuleni