Dunia Wiki Hii | Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump atangaza nia ya kuwania urais mwaka 2024

  • | KBC Video
    16 views

    - Kongamano la 27 kuhusu mabadiliko ya hali ya anga lilikamilika jijini Sharm el Sheik nchini misri huku nchi zinazostawi zikihimizwa ziongoze katika juhudi za kukabiliana na hali hiyo.

    - Aliyekuwa rais wa marekani Donald Trump atangaza nia ya kuwania urais mwaka 2024.

    - Shambulizi kali la kigaidi lasababisha vifo vya watu sita huku wengine kadhaa wakijeruhiwa na mhusika kukamatwa.

    - Huku idadi ya watu duniani ikifikia bilioni-8 umoja wa mataifa wahimiza umoja katika kuhakikisha maendeleo endelevu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #DuniaWikiHii #WorldCupIkoKBC