Skip to main content
Skip to main content

Wazee na washikadau wa amani waweka mikakati ya kukomesha vita Bonde la Kerio

  • | NTV Video
    326 views
    Duration: 3:27
    Vita na mizozo baina ya jamii hasimu katika eneo lenye utata la Bonde la Kerio na kwenye mpaka wa Kenya na Uganda huenda vikafikia kikomo baada ya wazee na washikadau wa amani kuweka mikakati na kuanzisha juhudi za kukomesha uhasama na wizi wa mifugo kwa lengo la kuimarisha amani. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya