Wabunge wataka bwawa la Thwake kukamilishwa

  • | KBC Video
    25 views

    Wabunge watatu kutoka kaunti ya Makueni wameitaka serikali kuharakisha kukamilisha ujenzi wa Bwawa la mabilioni ya pesa la Thwake .Wabunge hawa wanasema kuwa kukamilishwa kwa bwawa hilo kutatatua tatizo la uhaba wa maji na njaa katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #makueni #WorldCupIkoKBC #thwakedam