- 481 viewsDuration: 3:17Wakazi wa Jiji la Nairobi wameonyesha wasiwasi wao kuhusu mkataba wa ushirikiano kati ya Serikali ya Kaunti ya Nairobi na Serikali Kuu, wakilalamikia muda mfupi waliotengewa kuwasilisha maoni yao katika zoezi la ushirikishaji wa umma. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya