Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja auwawa, wengine 10+ wakijeruhiwa baada ya kushambuliwa na nyuki Loikas, Samburu

  • | Citizen TV
    11,361 views
    Duration: 2:39
    Mtu mmoja ameuawa baada ya kuumwa na nyuki huku wengine zaidi ya kumi wakichwa na majeraha kwenye tukio hilo eneo la Loikas, Maralal kaunti ya Samburu. Inaripotiwa kuwa nyuki hao walivamia wakazi huku maafisa wa usalama wakiwa na wakati mgumu hata kuutoa mwili wa marehemu