Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya Wakenya wakumbwa na vita Ukraine, familia zikibakia bila majibu

  • | Citizen TV
    10,375 views
    Duration: 10:14
    Maelfu ya Wakenya wamejipata kwenye vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi, na kuwacha familia kadhaa hapa zikiomboleza vifo au hata kupotea kwa jamaa zao. Licha ya familia nyingi kudai majibu kutoka kwa serikali, wengi wamesalia bila majibu ya walipo jamaa zao huku serikali ikikiri mtandao mpana unaohusisha hata maafisa wa serikali na wale wa usalama.