Mzozo wa sare za shule katika Shule ya Wasichana ya St. Mary’s Lwak, Siaya, sasa umefika bungeni. Mwanafunzi wa darasa la kumi, tunayebana jina lake, aliripotiwa kuzuwa kukaa shuleni akiwa amevalia hijab wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya