Wakazi watakiwa kutafuta njia mbadala kutua kesi Lamu

  • | Citizen TV
    629 views

    Wakazi wa kaunti ya Lamu wameshauriwa kutatua baadhi ya kesi ndogo nyumbani badala ya kukimbia mahakamani kila mara. Wakazi hao wametakiwa kutumia njia mbadala za kutatua migogoro kama vile ya kinyumbani au mizozo baina ya wakulima na wafugaji kwa kutumia wazee wa vijiji na mitaa ili kupunguza mrundiko wa kesi mahakamani