Wajane eneo la Amboseli Kajiado wanufaika na mbuzi

  • | Citizen TV
    453 views

    Kundi la wajane 40 eneo la Amboseli kaunti ya Kajiado, limenufaika na mbuzi 111, pamoja na shlingi elfu 20 kila mmoja. pesa hizo zinanuiwa kuwapiga jeki kibiashara. Kina mama hao pia walipata mafunzo ya kilimo biashara wanatarajia na kutakiwa kutumia mtaji huo kuanzisha biashara mbali mbali