Ujenzi wa bwawa la Thwake

  • | Citizen TV
    1,350 views

    Viongozi wa kaunti ya Makueni wanaitaka serikali kukamilisha ujenzi wa bwawa la Twhake ili kuwapunguzia wakazi dhiki ya kukosa maji. Viongozi hao wanasema bwawa la Thwake litafanikisha kilimo na kuzuia njaa eneo hilo.