Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Marekani inashinikiza mkataba wa nyuklia na Iran?

  • | BBC Swahili
    11,444 views
    Duration: 7:17
    Maafisa wa Marekani na Iran wanakutana mjini Geneva kwa duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja, yanayoonekana kuwa muhimu katika kuepusha migogoro. Rais Donald Trump ametishia kuishambulia Iran ikiwa makubaliano ya nyuklia hayatafikiwa. Lakini kwa nini Marekani inalamisha mktaba na Iran kuhusu nyuklia? #DiraYaDuniaTV