Vijana wanaathiri uwezo wao wa kusikia pasi na ufahamu wao

  • | K24 Video
    8 views

    Kutumia vifaa vya masikio kwa sauti ya juu kuna madhara mengi kwa afya ya mwanadamu, na uchunguzi wa watafiti huko Marekani unaashiria kuwa mabilioni ya vijana wanaathiri uwezo wao wa kusikia pasi na ufahamu wao. Katika makala ya siha yangu hii leo, maelezo kuhusu jinsi tunachodhani kuwa ni burudani huenda kikawa chanzo cha maelfu ya vijana kuwa viziwi siku za usoni na kuepuka hatari hiyo ya kuathiri masikio