Zaidi ya watu mia mbili wanusurika kifo baada ya kuhamishwa

  • | K24 Video
    153 views

    Jumba la ghorofa tano katika eneo la ruiru kaunti ya kiambu limeporomoka alfajiri hii leo siku moja baada ya wakaazi wapatao 100 kuamrishwa wahame mara moja jumba hilo lilipoanza kuonyesha nyufa na kuzama upande mmoja.kulingana na gavana wa kaunti ya kiambu kimani wamatangi ili kukabiliana na kupunguza visa vya majengo kuporomoka katika eneo hilo kaunti itafunga au kubomoa majengo ambayo hayajaafikia viwango hitajika vya ujenzi salama.