Skip to main content
Skip to main content

Watu sita wafariki kwenye ajali ya ndege eneo la Mosop, kaunti ya Nandi

  • | NTV Video
    10,520 views
    Duration: 54s
    Watu sita wafariki kwa ajali ya ndege ambayo imetokea katika eneo bunge la Mosop. Watu wote sita waliokuwa katika ndege hiyo wamefariki japo hawajatambuliwa kufikia sasa kwa mujibu wa polisi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya