- 28,989 viewsDuration: 2:37Mashambulizi yanashuhudiwa katika mataifa kadhaa ya mashariki ya kati, kufuatia mashambulizi dhidi ya jamhuri ya iran yaliyotekelezwa na marekani na israel. Hapa nchini, athari za mashambulizi hayo yanashuhudiwa baada ya shirika la ndege la Kenya airways kusitisha safari za ndege kwenda dubai na sharjah kufuatia kufungwa kwa anga ya milki ya kiarabu UAE. Hii ni baada ya Iran kurusha makombora ya kulipiza kisasi katika mataifa kadhaa..