- 10,771 viewsDuration: 3:05Hali ya taharuki imetanda katika eneo la musanda kaunti ya Kakamega baada ya watu waliokuwa na bunduki kuvamia kituo cha polisi cha Nyalenya, kumuua afisa mmoja wa polisi na kuwaacha watu wengine watatu na majeraha ya risasi. Genge la watu sita waliwasili katika kituo hicho wakidai pikipiki yao ilikuwa imeibwa, dakika chache baadaye waligeuka na kuwamiminia risasi askari watatu na mke wa mmoja wa maafisa hao kabla ya kuiba bunduki mbili aina ya g3 na risasi 40