Wawakilishi wadi wajiandaa kumwondoa mamlakani Gavana Kawira Mwangaza

  • | K24 Video
    43 views

    Mwakilishi wadi mmoja tu kati ya stini na tisa wa bunge la kaunti ya Meru wameunga mkono mswada wa mwenzao Dennis Kiogora wa kutaka gavana wao Kawira Mwangaza aondolewe mamlakani. Gavana mwangaza anaandamwa na madai ya utumizi mbaya wa mamlaka na ukiukaji wa katiba na sheria za nchi.