Sikio la kufa halisikii dawa | Matumizi mabaya ya dawa ni tisho kwa afya

  • | KBC Video
    17 views

    Vifo vinavyotokana na magonjwa yanayostahimili dawa vinatarajiwa kuongezeka kutoka laki-7 hadi milioni 10 duniani ifikapo mwaka 2050 ikiwa hatua hazitachukuliwa kudhibiti matumizi ya dawa za kukabiliana nayo. Matumizi mabaya ya dawa hizo yanatishia uwezo wao wa kutibu magonjwa ya kawaida ya kuambukiza. Wahudumu wa afya wamewatahadharisha wananchi na watumiaji wa dawa hizo dhidi ya kununua dawa hizo moja kwa moja bila ushauri wa daktari.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #matumizimabayayadawa #News