Kasisi anajisi na kumuua msichana wa miaka10

  • | KBC Video
    49 views

    Kasisi mmoja mwenye umri wa miaka 18 aliyedaiwa kumnajisi na kumuua msichana wa miaka 10 katika kijiji cha Kamuombo, kaunti ndogo ya Rangwe, kaunti ya Homabay wiki mbili zilizopita amekamatwa. Kasisi huyo alikamatwa katika maficho yake eneo la Mapera katika Kaunti ndogo ya Suna Mashariki

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #unajisi #News #hakiyawatoto