Vyakula kisaki | Wabunge waeleza hisia mseto

  • | KBC Video
    31 views

    Wabunge wana maoni tofauti kuhusu hatua ya serikali ya kuruhusu uuzaji wa vyakula kisaki humu nchini. Wabunge wa mrengo wa UDA wanadai kwamba wizara ya kilimo imesema kutakuwa na uhaba wa takriban magunia milioni 10 ya mahindi mwaka huu, ilhali ale wanaopinga hatua hiyo wanasema kulikuwa na njama ya kuondolewa kwa marufuku ya vyakula hivyo na wametishia kumng’atua waziri wa biashara Moses Kuria iwapo hatasisitisha ilani iliyochapishwa kwenye gazeti la serikali inayoruhusu uagizaji wa magunia milioni 10 ya mahindi kisaki isiyotozwa ushuru hadi mwezi Aprili mwaka ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #vyakulakisaki #News #bungelataifa