Kukabiliana na ugaidi | Mshukiwa atiwa nguvuni Tana River

  • | KBC Video
    142 views

    Maafisa wa polisi wamemkamata mtu mmoja anayeaminika kushirikiana na kundi la wanamgambo la Al-Shabaab ili kutekeleza mashambulizi katika eneo la Kaskazini Mashariki na kaunti za Tana River na Lamu. Mustafa Khalib Muhamed ambaye ni mkazi wa kaunti ndogo ya Bura Mashariki katika kaunti ya Tana River anadaiwa kutoa habari muhimu kwa kundi hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ugaidi #News