Skip to main content
Skip to main content

Ajali ya ndege: Familia zaomboleza Rubani George Were na waathiriwa wengine

  • | Citizen TV
    12,320 views
    Duration: 3:07
    Majonzi yameendelea kugubika familia za waathiriwa wa ajali ya ndege ya hapo jana iliyowaua watu sita eneo la Mosop kaunti ya Nandi. Mojawapo ya familia hizi ni ile ya rubani wa ndege iliyoangauka George Were. Aidha katika kaunti ya Bomet, familia ya aliyekuwa mpiga picha wa Mbunge Johanna Ng'eno, Nicholas Kiplangat Kosgey imeanza mipango ya mazishi huku ikiomboleza mtu waliyemtaja kuwa tegemeo kubwa kwao.