Wafanyakazi waendelea kugoma, washinikiza nyongeza ya mshahara

  • | VOA Swahili
    189 views
    Maandamano makubwa yaliyoambatana na mgomo wa watumishi wa umma, ambayo hayajawahi kufanyika nchini Afrika Kusini, wakitaka serikali iwaongezee mishahara kutokana na kipindi cha miaka mitatu kupita bila nyongeza yoyote ile. Wanalalamika kuwa hali ya maisha imeendelea kupanda kama anavyoeleza mmoja wa wafanyakazi wanaoshiriki katika mgomo huo. Sikiliza maelezo kamili kuhusu kiwango ambacho wafanyakazi wanataka kiongezwe katika mshahara wao... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.