Skip to main content
Skip to main content

Tawasifu ya Johanna Ngéno

  • | Citizen TV
    1,935 views
    Duration: 3:23
    Atakumbukwa kama kiongozi shupavu ambaye hakuwa muoga alipopigania maslahi ya waliodhulumiwa. Marehemu Johana Ng'eno kwa mara kadhaa alijipata kwenye makumbo na maafisa wa usalama haswa wakati wa kufurushwa kwa maskwota kwenye ardhi walizoishi. Tunaangazia tawasifu ya kiongozi anayekumbukwa na wakazi wa Emurua Dikirr kama shujaa na mkarimu.