- 2,263 viewsDuration: 1:06Balozi wa Iran Ali Gholampour amesema kwamba nchi hiyo haitashambulia makao ya kijeshi ya Marekani nchini Kenya. Akihutubia wanahabari jijini Nairobi, balozi huyo ametetea mashambulizi dhidi ya mataifa ya Milki ya Kiarabu akisema kwamba nchi hiyo inajilinda dhidi ya Marekani na Israeli, ambazo zilisababisha kifo cha kiongozi wa Iran Ali Khamenei.