2 Mar 2026 1:10 pm | Citizen TV 7,841 views Duration: 2:43 Rais William Ruto anatarajiwa kufika nyumbani kwa aliyekuwa mbunge wa Emurua Dikirr marehemu Johana Ng'eno kuomboleza na familia mtaani Karen.