- 287 viewsWakati Kombe la Dunia 2022 likianza huko Qatar, mashabiki wengi wanavinjari katika sehemu mbalimbali na kila vivutio ambavyo vinapatikana katika mji wa Doha. Hapa utajionea baadhi ya mandhari kutoka mjini humo. Endelea kuwafuatilia waandishi wa Sauti ya Amerika Sunday Shomari na Kahli Abdu wakikuletea habari mpya kuhusu timu tano kutoka Afrika – Cameroon, Ghana, Morocco, Tunisia na Washindi wa barani Afrika Senegal na ujionee jinsi mashabiki wanavyosherehekea tukio kubwa la michezo duniani. #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mandhari yaliyorekodiwa na VOA kutoka Qatar (Sehemu ya kwanza)
- 1 May 2024 - Ousted Migori County Assembly Speaker Charles Owino Likoa has received a sigh of relief after a Labour court sitting in Kisumu issued an order stopping the House from replacing him pending the hearing of a case.
- 1 May 2024 - Catholic Church Leader Pope Francis has sent a message of goodwill to Kenya amid devastating floods that have claimed lives and led to destruction of infrastructure and property.
- 1 May 2024 - Kenya Wildlife Services (KWS) officers manning Lake Nakuru National Park are on the spot after locals living in Barut along the edges of the lake accused them of arresting a young man and throwing him into the lake.
- 1 May 2024 - Her two children aged 16 and 10 survived as they slept in a different bedroom.
- 1 May 2024 - The display seeks to energise Russians ahead of the country's victory day celebrations on 9 May.
- 1 May 2024 - Trade disputes within the East African region are not new with countries within the region involved in trade tiffs from time to time.
- 1 May 2024 - Oyier will be buried on Friday, May 3 at their home in Homa Bay.
- 1 May 2024 - President William Ruto on Wednesday urged doctors to end their strike as the government works towards meeting all their demands in an unspecified time in the future.
- 1 May 2024 - President William Ruto has said that the affordable housing project has now helped to create jobs for at least 140,000 Kenyan youth.
- 1 May 2024 - More than 7,500 migrants have arrived in England on small boats from France so far this year.