- 20,339 viewsDuration: 3:52Rais William Ruto amekashifu mashambulizi dhidi ya mataifa ya ghuba akisema hatua hiyo ni tishio kwa usalama wa kimataifa. Kwenye taarifa, Rais Ruto amesema kuwa mashambulizi dhidi ya mataifa hayo yanayojumuisha himaya ya milki za kiarabu, Saudia Arabia na hata Qatar yanatia wasiwasi na kutaka mazungumzo ya kusitisha uhasama. Haya yakijiri huku balozi wa Iran hapa nchini akitetea majibu ya taifa lake baada ya kushambuliwa na Israel na Marekani.