- 367 viewsMwaka 2010 Ghana ilikuwa timu ya tatu barani Afrika kufikia robo fainali katika michuano ya Kombe la Dunia huku ikibeba matumaini ya bara hilo huko Afrika Kusini. Walimaliza mbele ya Australia na Serbia, katika kundi lao kisha wakawashinda Wamarekani kabla ya kushindwa kwa mikwaju ya penalti baada ya utata katika mechi dhidi ya Uruguay mjini Johannesburg. Baada ya kushiriki vibaya nchini Brazil miaka minne baadae Ghana wamerejea katika hatua kubwa ya soka duniani. Sikiliza uchambuzi wa mwandishi wa VOA akiwa nchini Qatar... #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kombe la Dunia: Ghana yaipa matumaini ya ushindi Afrika
- 4 May 2024 - President William Ruto has conveyed his condolences to the United Arab Emirates (UAE) following the passing of Sheikh Tahnoon bin Mohammed Al Nahyan, Abu Dhabi Ruler’s Representative in Al Ain Region.
- 4 May 2024 - Kilifi Governor Gideon Mung’aro has threatened to dump containers preserving bodies of the Shakahola massacre victims at Kenyatta National Hospital if the government fails to act quickly and remove them.
- 4 May 2024 - The stalemate between doctors and the government continues after the Kenya Medical Practitioners and Pharmacists Union failed to sign a return to work formula.
- 4 May 2024 - Two people including a nine-year-old boy were injured in Rapogi Village, Migori County, during a clash between rival political groups at a funeral event.
- 4 May 2024 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has carried out a targeted raid on a senior government official identified as Fredrick Ondari Ochanda.
- 4 May 2024 - Detectives from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) have arrested a suspected fraudster purporting to be an Anti-Corruption Lawyer and Investigator who is accused of conning the public in Nairobi.
- 4 May 2024 - Detectives from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) have arrested a suspected fraudster purporting to be an Anti-Corruption Lawyer and Investigator to con the public in Nairobi.
- 4 May 2024 - Mara Managers Association has come out to dispel claims that there were tourist deaths following the ongoing heavy rains that have resulted in floods.
- 4 May 2024 - Mara Managers Association has come out to dispel claims that there were tourist deaths following the ongoing heavy rains that have resulted in floods.
- 4 May 2024 - "Indeed, we will feel the effects from the fringes of the tropical cyclone, but it will weaken to become a depression. The eye of the cyclone will make landfall just about or below 5°S from the equator," said the meteorological department.