Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ametoa hakikisho kuwa taifa lina mafuta ya kutosha kwa sasa

  • | Citizen TV
    483 views
    Duration: 1:13
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ametoa hakikisho kuwa taifa lina mafuta ya kutosha kwa sasa na kwamba hakuna hofu kutokana na vita vinavyoendelea katika mataifa ya mashariki ya kati.