- 334 viewsDuration: 1:40Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ameomboleza kifo cha Mbunge wa Emurua Dik, Johana Ng'eno, akimtaja kama mmoja wa wabunge mahiri zaidi waliowahi kulitumikia Bunge. Spika Wetangula akisema marehemu Ng'eno alibainika kwa umahiri wake katika mijadala na uongozi wa kupigiwa mfano.