- 184 viewsBaadhi ya wakazi wa kijiji cha Chepkiep katika kaunti ya Nandi, ambao walikuwa mstari wa mbele katika shughuli za uokoaji kwenye ajali ya helikopta iliyomuua Mbunge wa Emurua Dikirr, Johanna Ng'eno, na watu wengine watano mwishoni mwa juma, sasa wanaiomba serikali kuwapa msaada wa dharura wa kimatibabu na kisaikolojia.