- 188 viewsDuration: 2:06Muungano wa madaktari huko Mombasa umetangaza mgomo kuanzia hapo kesho. Wakiongozwa na katibu mkuu wa kitaifa davji attellah pamoja na mwenyekiti abi mwachi madaktari hao wamelalama kuwa wanasiasa kaunti ya mombasa wameendelea kutatiza utoji huduma katika hospitali ya makadara hali ambayo wanataka ikome