Skip to main content
Skip to main content

Serikali imetoa msaada kwa wanafunzi sitini na watano wa KYAMUTHEI huko Kaiti kaunti ya makueni

  • | Citizen TV
    439 views
    Duration: 2:48
    Serikali kupitia idara ya hali ya anga imetoa msaada wa magondora na mashuka kwa wanafunzi sitini na watano ambao bweni lao liliteketea katika shule ya upili ya wavulana ya KYAMUTHEI huko Kaiti kaunti ya makueni wiki mbilli zilizopita huku uchunguzi wa kilichosababisha moto huo ukiwa ungali unaendelea.